15 Yeremia akamjibu Sedekia, “Je, nikikuambia ukweli hutaniua? Na kama nikikushauri, hutanisikiliza.”
Kusoma sura kamili Yeremia 38
Mtazamo Yeremia 38:15 katika mazingira