16 Hapo, mfalme Sedekia alimwapia Yeremia kwa siri akisema, “Kama aishivyo Mwenyezi-Mungu aliyetupa uhai, sitakuua wala sitakutia mikononi mwa hawa wanaotaka kukuua.”
Kusoma sura kamili Yeremia 38
Mtazamo Yeremia 38:16 katika mazingira