Yeremia 38:22 BHN

22 Katika maono hayo, niliona wanawake waliobaki katika ikulu ya mfalme wa Yuda wakipelekwa kwa maofisa wa mfalme wa Babuloni, nao walikuwa wakisema hivi:‘Marafiki zako uliowaamini wamekudanganya,nao wamekushinda;kwa kuwa miguu yako imezama matopeni,wamekugeuka na kukuacha.’

Kusoma sura kamili Yeremia 38

Mtazamo Yeremia 38:22 katika mazingira