Yeremia 38:23 BHN

23 Wake zako wote na watoto wako watapelekwa kwa Wakaldayo, nawe mwenyewe hutanusurika. Utachukuliwa mateka na mfalme wa Babuloni na mji huu utateketezwa kwa moto.”

Kusoma sura kamili Yeremia 38

Mtazamo Yeremia 38:23 katika mazingira