Yeremia 38:25 BHN

25 Kama viongozi wakisikia kuwa nimeongea nawe, kisha wakaja na kukuambia, ‘Hebu tuambie, ulizungumza nini na mfalme. Usitufiche chochote nasi hatutakuua’;

Kusoma sura kamili Yeremia 38

Mtazamo Yeremia 38:25 katika mazingira