Yeremia 38:26 BHN

26 wewe utawaambia hivi: ‘Nilikuwa ninamsihi mfalme kwa unyenyekevu asinirudishe gerezani nyumbani kwa Yonathani, nisije nikafia huko.’”

Kusoma sura kamili Yeremia 38

Mtazamo Yeremia 38:26 katika mazingira