Yeremia 38:27 BHN

27 Kisha, viongozi walimjia Yeremia wakamwuliza mambo hayo, naye akawajibu kama mfalme alivyomwelekeza. Ndipo walipoacha kuzungumza naye kwa sababu hakuna mtu aliyekuwa amesikia mazungumzo yake na mfalme.

Kusoma sura kamili Yeremia 38

Mtazamo Yeremia 38:27 katika mazingira