Yeremia 39:14 BHN

14 Wakamkabidhi Yeremia kwa Gedalia mwana wa Ahikamu, mjukuu wa Shafani, amchukue nyumbani kwake. Basi, Yeremia akaishi pamoja na wananchi wengine.

Kusoma sura kamili Yeremia 39

Mtazamo Yeremia 39:14 katika mazingira