Yeremia 39:15 BHN

15 Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia wakati alipokuwa amefungwa katika ukumbi wa walinzi:

Kusoma sura kamili Yeremia 39

Mtazamo Yeremia 39:15 katika mazingira