Yeremia 4:10 BHN

10 Kisha nikasema: “Aa, Mwenyezi-Mungu, hakika umewadanganya kabisa watu hawa na mji wa Yerusalemu! Uliwaambia mambo yatawaendea vema, kumbe maisha yao yamo hatarini kabisa!”

Kusoma sura kamili Yeremia 4

Mtazamo Yeremia 4:10 katika mazingira