Yeremia 4:18 BHN

18 Yuda, mwenendo wako na matendo yako yamekuletea hayo.Hayo ndiyo maafa yaliyokupata, tena ni machungu;yamepenya mpaka ndani moyoni mwako.”

Kusoma sura kamili Yeremia 4

Mtazamo Yeremia 4:18 katika mazingira