Yeremia 4:19 BHN

19 Uchungu, uchungu!Nagaagaa kwa uchungu!Moyo wangu unanigonga vibaya.Wala siwezi kukaa kimya.Maana naogopa mlio wa tarumbeta,nasikia kingora cha vita.

Kusoma sura kamili Yeremia 4

Mtazamo Yeremia 4:19 katika mazingira