Yeremia 4:3 BHN

3 Mwenyezi-Mungu awaambia hivi watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu:“Limeni mashamba yenu mapya;msipande mbegu zenu penye miiba.

Kusoma sura kamili Yeremia 4

Mtazamo Yeremia 4:3 katika mazingira