Yeremia 4:4 BHN

4 Enyi watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu,jitakaseni kwa ajili yangu mimi Mwenyezi-Mungu,wekeni mioyo yenu wazi mbele yangu.La sivyo, ghadhabu yangu itachomoza kama moto,iwake hata pasiwe na mtu wa kuizima,kwa sababu ya uovu wa matendo yenu.

Kusoma sura kamili Yeremia 4

Mtazamo Yeremia 4:4 katika mazingira