Yeremia 4:5 BHN

5 “Tangazeni huko Yuda,pazeni sauti huko Yerusalemu!Pigeni tarumbeta kila mahali nchini!Pazeni sauti na kusema:Kusanyikeni pamoja!Kimbilieni miji yenye ngome!

Kusoma sura kamili Yeremia 4

Mtazamo Yeremia 4:5 katika mazingira