Yeremia 4:8 BHN

8 Kwa hiyo, vaa vazi la gunia,omboleza na kulia;maana, hasira kali ya Mwenyezi-Mungu,bado haijaondoka kwetu.

Kusoma sura kamili Yeremia 4

Mtazamo Yeremia 4:8 katika mazingira