Yeremia 4:7 BHN

7 Kama simba atokavyo mafichoni mwake,mwangamizi wa mataifa ameanza kuja,anakuja kutoka mahali pake,ili kuiharibu nchi yako.Miji yako itakuwa magofu matupu,bila kukaliwa na mtu yeyote.

Kusoma sura kamili Yeremia 4

Mtazamo Yeremia 4:7 katika mazingira