Yeremia 40:10 BHN

10 Mimi nitakaa Mizpa niwawakilishe nyinyi kwa Wakaldayo watakaofika kwetu; lakini nyinyi kusanyeni na kuhifadhi divai, matunda ya kiangazi na mafuta, mkae katika miji mnayoimiliki.”

Kusoma sura kamili Yeremia 40

Mtazamo Yeremia 40:10 katika mazingira