Yeremia 40:9 BHN

9 Gedalia aliapa mbele yao na mbele ya majeshi yao akisema: “Msiogope kuwatumikia Wakaldayo. Kaeni nchini mumtumikie mfalme wa Babuloni, na mambo yote yatawaendea vema.

Kusoma sura kamili Yeremia 40

Mtazamo Yeremia 40:9 katika mazingira