Yeremia 40:2 BHN

2 Kapteni wa walinzi alimchukua Yeremia, akamwambia “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, alitangaza maafa dhidi ya mahali hapa.

Kusoma sura kamili Yeremia 40

Mtazamo Yeremia 40:2 katika mazingira