Yeremia 40:3 BHN

3 Na sasa Mwenyezi-Mungu ametekeleza jambo hilo na kutenda kama alivyosema, kwa sababu nyinyi nyote mlimkosea Mwenyezi-Mungu na kukataa kumtii, jambo hilo limewapata.

Kusoma sura kamili Yeremia 40

Mtazamo Yeremia 40:3 katika mazingira