Yeremia 41:6 BHN

6 Ishmaeli mwana wa Nethania, alitoka nje ya mji kuwalaki watu hao huku analia. Alipokutana nao, akawaambia, “Karibuni nyumbani kwa Gedalia mwana wa Ahikamu.”

Kusoma sura kamili Yeremia 41

Mtazamo Yeremia 41:6 katika mazingira