7 Walipoingia mjini, Ishmaeli mwana wa Nethania, pamoja na wale watu kumi waliokuwa pamoja naye, waliwaua watu hao na kuzitupa maiti zao kisimani.
Kusoma sura kamili Yeremia 41
Mtazamo Yeremia 41:7 katika mazingira