Yeremia 42:10 BHN

10 Kama mtabaki katika nchi hii, basi, nitawajenga, wala sitawabomoa; nitawaotesha wala sitawangoa; kwa maana nitabadili nia kwa sababu ya maafa niliyowatenda.

Kusoma sura kamili Yeremia 42

Mtazamo Yeremia 42:10 katika mazingira