Yeremia 42:16 BHN

16 basi, vita mnavyoviogopa vitawakumba hukohuko Misri, na njaa mnayoihofia itawaandama vikali hadi Misri, na mtafia hukohuko.

Kusoma sura kamili Yeremia 42

Mtazamo Yeremia 42:16 katika mazingira