Yeremia 43:12 BHN

12 Mimi nitawasha moto katika mahekalu ya miungu ya Misri; naye Nebukadneza ataiteketeza miungu hiyo kwa moto au kuichukua mateka mpaka Babuloni. Ataisafisha nchi ya Misri kama mchungaji atoavyo kupe katika vazi lake na kuondoka Misri akiwa mshindi.

Kusoma sura kamili Yeremia 43

Mtazamo Yeremia 43:12 katika mazingira