Yeremia 43:9 BHN

9 “Chukua mawe makubwa, ukayafiche katika chokaa ya matofali kwenye lango la ikulu ya Farao mjini Tahpanesi, watu wa Yuda wakiwa wanaona.

Kusoma sura kamili Yeremia 43

Mtazamo Yeremia 43:9 katika mazingira