Yeremia 43:10 BHN

10 Kisha waambie hivi: Tazameni mimi nitamtuma na kumleta Nebukadneza, mfalme wa Babuloni, mtumishi wangu, naye ataweka kiti chake cha enzi juu ya mawe haya ambayo nimeyaficha hapa, na kutandaza paa la kifalme juu yake.

Kusoma sura kamili Yeremia 43

Mtazamo Yeremia 43:10 katika mazingira