Yeremia 44:1 BHN

1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia kuhusu Wayahudi waliokuwa wanakaa nchini Misri katika miji ya Migdoli, Tahpanesi, Memfisi na sehemu ya Pathrosi:

Kusoma sura kamili Yeremia 44

Mtazamo Yeremia 44:1 katika mazingira