Yeremia 44:2 BHN

2 “Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli asema hivi: Nyinyi mmeona maafa yote niliyouletea mji wa Yerusalemu na miji yote ya Yuda. Miji hii ni magofu mpaka leo wala hakuna mtu aishiye humo.

Kusoma sura kamili Yeremia 44

Mtazamo Yeremia 44:2 katika mazingira