Yeremia 44:3 BHN

3 Imekuwa hivyo kwa sababu ya uovu walioufanya, wakanikasirisha kwa kuifukizia ubani na kuitumikia miungu mingine ambayo wao wenyewe hawakuifahamu, wala nyinyi, wala wazee wenu.

Kusoma sura kamili Yeremia 44

Mtazamo Yeremia 44:3 katika mazingira