Yeremia 45:1 BHN

1 Haya ndiyo maneno aliyotamka nabii Yeremia mnamo mwaka wa nne wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia naye Baruku mwana wa Neria akawa anayaandika kitabuni.Yeremia alimwambia Baruku:

Kusoma sura kamili Yeremia 45

Mtazamo Yeremia 45:1 katika mazingira