Yeremia 49:10 BHN

10 Lakini nimemnyanganya Esau kila kitu,naam, nimeyafunua maficho yake,wala hawezi kujificha tena.Watoto, ndugu na jirani zake wameangamizwa;hakuna hata mmoja aliyebaki.

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:10 katika mazingira