Yeremia 49:9 BHN

9 Wachuma zabibu watakapokuja kwenuhawatabakiza hata zabibu moja.Usiku ule wezi watakapofika,wataharibu kila kitu mpaka watosheke.

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:9 katika mazingira