Yeremia 49:8 BHN

8 Kimbieni enyi wakazi wa Dedani;geukeni mkaishi mafichoni!Maana nitawaleteeni maangamizienyi wazawa wa Esau;wakati wa kuwaadhibu umefika.

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:8 katika mazingira