Yeremia 49:12 BHN

12 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Ikiwa wale ambao hawakustahili kunywa kikombe cha adhabu ni lazima wanywe, je, wewe utaachwa bila kuadhibiwa? La! Hutakosa kuadhibiwa; ni lazima unywe hicho kikombe!

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:12 katika mazingira