Yeremia 49:13 BHN

13 Maana nimeapa kwa nafsi yangu kwamba mji wa Bosra utakuwa kioja na kichekesho, utakuwa uharibifu na laana; vijiji vyote vitakuwa magofu daima. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:13 katika mazingira