Yeremia 49:2 BHN

2 Basi, wakati unakuja kweli, siku zaja,nasema mimi Mwenyezi-Mungu,ambapo nitavumisha sauti ya vitadhidi ya Raba mji wa Waamoni.Raba utakuwa rundo la uharibifu,vijiji vyake vitateketezwa moto;ndipo Israeli atakapowamiliki wale waliomiliki.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:2 katika mazingira