Yeremia 49:3 BHN

3 “Ombolezeni, enyi watu wa Heshboni,maana mji wa Ai umeharibiwa!Lieni enyi binti za Raba!Jifungeni mavazi ya gunia viunoniombolezeni na kukimbia huko na huko uani!Maana mungu Milkomu atapelekwa uhamishoni,pamoja na makuhani wake na watumishi wake.

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:3 katika mazingira