Yeremia 49:4 BHN

4 Mbona mnajivunia mabonde yenu, enyi msioamini,watu mliotegemea mali zenu, mkisema:‘Nani atathubutu kupigana nasi?’

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:4 katika mazingira