5 Basi, mimi nitawaleteeni vitishokutoka kwa jirani zenu wote,nanyi mtafukuzwa nje kila mtu kivyake,bila mtu wa kuwakusanya wakimbizi.Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nimesema.
Kusoma sura kamili Yeremia 49
Mtazamo Yeremia 49:5 katika mazingira