Yeremia 49:22 BHN

22 Tazama, adui atapanda juu na kuruka kama tai na kutandaza mabawa yake juu ya Bosra. Siku hiyo moyo wa mashujaa wa Edomu utakumbwa na hofu kama ya mwanamke anayejifungua.”

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:22 katika mazingira