Yeremia 49:23 BHN

23 Kuhusu Damasko:“Miji ya Hamathi na Arpadi, imejaa wasiwasikwa kufikiwa na habari mbaya;mioyo ya watu wake inayeyuka kwa hofu,imefadhaika kama bahari isiyoweza kutulia.

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:23 katika mazingira