Yeremia 49:24 BHN

24 Watu wa Damasko wamekufa moyo;wamegeuka wapate kukimbia;hofu kubwa imewakumba,uchungu na huzuni vimewapata,kama mwanamke anayejifungua

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:24 katika mazingira