Yeremia 49:29 BHN

29 Hema zao na kondoo wao vitachukuliwa,kadhalika mapazia yao na mali yao yote;watanyanganywa ngamia wao,na kilio kitasikika: ‘Kitisho kila upande!’

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:29 katika mazingira