Yeremia 49:31 BHN

31 Inuka uende kulishambulia taifa linalostarehe,taifa linaloishi kwa usalama.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.Taifa hilo halina malango wala pao za chuma;ni taifa ambalo liko peke yake.

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:31 katika mazingira