Yeremia 49:32 BHN

32 “Ngamia wao watatekwamifugo yao itachukuliwa mateka.Nitawatawanya kila upande,watu wale wanaonyoa denge.Nitawaletea maafa kutoka kila upande.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:32 katika mazingira