Yeremia 50:13 BHN

13 Kwa sababu ya ghadhabu yangu Mwenyezi-Mungu,Babuloni haitakaliwa kabisa na watu,bali itakuwa jangwa kabisa;kila atakayepita karibu nayo atashangaaataizomea kwa sababu ya majeraha yake.

Kusoma sura kamili Yeremia 50

Mtazamo Yeremia 50:13 katika mazingira