Yeremia 50:14 BHN

14 “Enyi nyote wapiga mishale stadi,shikeni nafasi zenu kuuzingira mji wa Babuloni;upigeni, msibakize mshale hata mmoja,maana umenikosea mimi Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Yeremia 50

Mtazamo Yeremia 50:14 katika mazingira