Yeremia 50:17 BHN

17 “Israeli ni kondoo wanaowindwa na kufukuzwa na simba. Kwanza waliangamizwa na mfalme wa Ashuru, na sasa Nebukadneza mfalme wa Babuloni, amevunjavunja mifupa yake.

Kusoma sura kamili Yeremia 50

Mtazamo Yeremia 50:17 katika mazingira